Uchaguzi Kenya: Sitajiuzulu – Chebukati

By  |  0 Comments

Huku hisia ibuka ikiendelea kushuhudiwa kuhusiana na uchaguzi wa tarehe 26 oktoba , uvumi imeendelea kuenezwa kuwa mwenye kiti wa tume ya uchaguzi IEBC Wafula chebukati amejiuzulu baada ya kutofautiana na makomishona wa tume hiyo , uvumi ambayo mwenyekiti amekana vikali akitaja kama habari bandia akizungumzia na wanahabari chebukati alieleza kuwa kutofautiana kwa makomishona ki mawazo Ni kitu cha kawaida na basi haitakani kuleta hali ya utete “we shall deliver our mandate on the 26 of October whoever has a contrary opinion , the chairman isn’t going to resign the commissioners aren’t planning to resign that’s fake news .”

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *