Tuko tiyari kusimamia uchaguzi – Chebukati

By  |  0 Comments

Huku matayarisho ya uchaguzi ya urais ukifikia upeo , Tume ya uchaguzi umejitokeza kuhakishia wapigaji kura kuwa kila jambo ishwari akizungumza Leo muda mfupi kabla ya uchaguzi wa marudio ya urais kungoa nanga mwenyeketi wa iebc Wafula chebukati amesisitiza kuwa uchaguzi utaendelea kama ilivyo pangwwa huku akiongeza kuwa ikiwa baadhi ya watu ambao wametangaza kususia uchaguzi huo watazua rabsha tume italazimika kuhairisha uchaguzi ” based on assurance given to this commission by relevant authorities and security agencies based on the progress that has been made in the commission , the election are schedule to go on tomorrow the 26 th October 2017 .” alisema chebukati.

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *