Nitagombea Kiti cha Urais tena – Dida

By  |  0 Comments

Aliyekuwa mwaniaji wa kiti cha urais kupitia tikiti ya alliance for real change Abduba dida ametangaza kugombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao , hii ni baada ya mahakama kutoa amri kwa tume ya uchaguzi IEBC kuwajumuisha wagombeaji wote walioshiriki katika uchaguzi uliobatilishwa na mahakama kuu nchini na baadaye kuamrisha tume ya uchaguzi kuandaa uchaguzi mpya ila tume ilichapisha majina ya Rais Uhuru Kenyatta na Raila odinga kwa Gazeti rasmi kama wagombeaji katika uchaguzi wa 26 oktoba .japo korti ilitoa amri kwa mgombeaji yeyote anayetaka kujiunga na kinyanganyiro , wagombeaji Abduba dida, Ekuru Aukot wa thirdway alliance na kavinga kaluyu ndio pekee wametoa hakikisho kwa wafwasi wao kuwa watakuwepo kwa debe”the chairman called me today and confirmed to me that we are their after the high court ruling .” alisema Dida.

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *