Nimeridhika na maandalizi ya Uchaguzi – Aukot

By  |  0 Comments

Baada ya kukashifu hukumu ya mahakama iliyokubali kujumuishwa kwa wagombezi wote wa urais kwenye mchuano wa kirais wa tarehe 26 oktoba , mwaniaji kupitia tikiti ya thridway alliance Ekuru Aukot sasa ametangaza badilisho lake LA masimamo huku akieleza kuridhika kwake na maandalizi ya uchaguzi huo , maongezi yake inakujia Masaa fupi baada ya uchapishaji wa majina ya waniaji wa saba wa kirais kwenye Gazeti rasmi , Aukot pia amesema kuwa hata peana matakwa yake kwa tume ya uchaguzi kwa minajili ya kutaka itekelezwe akizungumza baada ya mazungumzo na tume ya uchaguzi Aukot alirai tume hiyo sasa ije kuzungumza na wakenya kupitia vyombo vya habari kuhakikishia kuwa kila jambo liko sambamba ” they spoke to us on how they have standardise the forms how they have put in corrective measures , how they have got back up for the servers so we don’t want to own this so this how we are just reporting this to you and challenging iebc again to now stop speaking with politicians and speak with the public .”

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *