Nitawapa muelekeo mpya – Raila Odinga

By  |  0 Comments

Huku upinzani the National super alliance ukiendelea kusisitiza kuwa haitahusika katu katika uchaguzi ambayo inatarajiwa kufanyika wiki ujao na kusema kuwa wafwasi wao wataendeleza maandamano siku hiyo ya uchaguzi , mgombea wa muungano huo Raila odinga ameahidi wafwasi wao kuwa atatoa muelekeo mpya tarehe 25 oktoba Siku moja kabla ya uchaguzi ” hawa majamaa wanaenda kuleta jeshi hapa sasawa lakini sisi wajinga sasawa kwa hivyo tarehe 25 musikize kwa makini sana nitatoa ujumbe kwenu .” alisema Raila akiwa eneo bunge LA Bondo alipokuwa akihudhuria matayarisho ya kuzikwa kwa wsfwasi wa muungano wa upinzani waliopoteZa maisha yao wakiwa kwenye maandamano.

 

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *