Francis Atwoli – Hairisha uchaguzi

By  |  0 Comments

Huku hali ya ati ati ikiendelea kushuhudiwa kutokana na uchaguzi wa wiki ujao , shinikizo ya kutaka maongezi kufanyika baina ya wagombezi wakuu kwenye kinyanganyiro umezidi kushamiri huku wa hivi karibuni kutoa wito wa mazungumzo akiwa ni katibu mkuu wa muungano wa wafanyikazi cotu Francis Atwoli ambaye ametaka tume ya uchaguzi Iebc ihairishe uchaguzi kwa minajili ya mazungumzo , wito wa Atwoli unakuja wakati chama cha jubilee na kile cha NASA zinazidi kushikilia misimamo mikali huku jubilee ikisisitiza uchaguzi mpaka ifanyike na NASA ikiendelea kushikilia msimamo kuwa hautahusika kwa lolote kwa uchaguzi huo ” hii uchaguzi ihairishwe until we agree until we are all ready for it .” alisema Atwoli.

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *