Aukot ajitangaza kua kiongozi wa Upinzani

By  |  0 Comments

Siku moja tu baada ya kutangazwa kwa Rais Uhuru Kenyatta kama mshindi wa uchaguzi ya urais , mgombea wa thirdway alliance Ekuru Aukot amejitangaza kama kiongozi wa upinzani nchini .Ekuru ambaye alikuwa katika nambari ya tatu katika uchaguzi uliyosusiwa na muungano wa NASA ambayo ni ya upinzani .kupitia kurasa yake rasmi Aukot alimpa Rais Kenyatta heko kwa kuchaguliwa kwake kuongeza kenya kwa muhula wa pili”# fresh election ! Today we take our role as the official opposition and to the president @ ukenyatta congratulation , we shall put your government into check .Alitangaza aukot , tangazo lake likiibua uungwaji mkono kutoka kwa mbunge wa Gatundi kusini Moses kuria ambaye alisema kususia kwa mwaniaji wa NASA Raila odinga ilimpa Aukot kuwa kiongozi wa upinzani bila pingamizi” since Raila odinga was number 2 since Raila odinga had done some sorts of pic political coitus interrupts by withdrawing , its now my singular duty to declare number 3 Mr ekuru aukot as the leader of the official opposition .” aliandika kuria.

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *