Nilihusika pakubwa kwa uteuzi – Chiloba

By  |  0 Comments

Huku ikiwa imesalia wiki moja kabla ya kenya kuingia uchaguzini , swala LA uteuzi wa jopo kazi kusimamia uchaguzi huu umezidi kuibua tumbo Joto , viongozi wengi wakidai kuwa kulikuwa na nia ya kuwatenga baadhi ya maafisa ya tume ya IEBC katika uchaguzi ujao jambo ambalo limetoa hisia mseto kuhusiana na uhusiano ya makomishona wa tume hili LA uchaguzi , huku wengi wakidai afisa mtendaji wa iebc Ezra chiloba alitengwa na mwenyekiti Wafula chebukati jambo ambalo chiloba amekana , akizungumza na idhaa moja ya habari afisa mtendaji huyu alisema kuwa alihusika kikamilifu kwa uteuzi wa jopo kazi hilo akiongezea kuwa si yeye pekee Bali hata makomishona wote waliridhika na uteuzi huo .

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *