Upinzani yasitisha uapisho

By  |  0 Comments

Muungano wa upinzani national super alliance umetangaza kuhairishwa kwa mpango wa muungano wao uliyotishia kumaapisha kinara wao Raila odinga kama rais wa wananchi nchini kenya , akizungumza na wanahabari kinara mwenza musalia mudavadi alieleza kuwa maamuzi ya kuhairisha iliafikia baada ya majadiliano na watalaamu walio nchini na ugaibuni ” after engagement with a wide national and international interlocutors , the NASA leadership wishes to advice the NASA fraternity and the general public that the swearing of Rt Hon Raila amolo odinga and H.E Stephen kalonzo Musyoka as President and deputy president of the republic of kenya and the launch of people assembly schedule for Tuesday 12 th December has been postponed .” alisema mudavadi , japo mwanasheria mkuu Githu muigai amewaonya viongozi wa muungano huu kutokana na mpango yao ya kumapisha kinara wao akiitaja kama uhaini , viongozi wa NASA wamesisitiza kuwa katu hawatafutilia mbali mikakati ya wao wakiongeza kuwa wanaufahamu wa sheria .

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *