ANC yatishia kutoa mwelekeo

By  |  0 Comments

Tetesi imeendelea kushuhudiwa katika mrengo wa NASA , huku orodha ya walio pendekezwa kuongoza shughuli ya mrengo huo kwenye mabunge yote mawili ikitishia kuletea muungano huo mgawanyiko.ikiwa siku moja tu baada ya wabunge wa mwambao wa pwani kupinga orodha hiyo , wabunge tokea chama cha amani ambayo ni chama tanzu ya muungano huo , wametishia kutoa mwelekeo ambayo itahakikisha wamepata kilichokuwa kimeamulia kuwa chao .Akizungumza na wanahabari kwenye makao ya bunge ,mbunge wa Butere Tindi mwale alielezea kughadhabishwa kwao na orodha hiyo ambayo iliinyima chama cha Amani national congress cheo ya kinara msaaidizi ya waliowachache bungeni ambayo anafichua muungano huo ulikuwa umeafikiana kuipa chama chao” sisi tulikuwa tumeelewana kama chama cha ANC ya kwamba tutapewa kiti cha deputy minority leader na hiyo kiti chama chetu cha ANC haikupata hiyo kiti nakama hatutapewa hiyo kiti sisi wanaANC na vile tutaamua baadaye.” Alisema Tindi

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *