Uchaguzi Kenya: NASA kuendelea na maandamano

By  |  0 Comments

Baada ya kutekeleza tishio lake LA kususia uchaguzi ujao kwa kutangaza hadharani kujiondoa kwake kwa kinyanganyiro ya urais Raila odinga ametangaza kuendelea kwa maandamano ambazo zinalenga kuwashinikiza baadhi ya maafisa katika tume ya uchaguzi ya iebc kujiuzulu .Akizungumza Leo asubuhi katika mahojiano na redio moja nchini kenya Raila amedai maandamano ya mrengo wa the national super alliance itaendelea hadi 26 oktoba siku ambayo ilikuwa imetengewa kwa minajili ya uchaguzi nyingine akisisitiza kuwa maandamano yao inashinikiza kuwepo kwa uchaguzi bora bali si bora uchaguzi “tutaendelea na msururu wa maandamano hadi tarehe 26 , sababu tunataka uchaguzi bora sio bora tu uchaguzi .” alisema Raila.

 

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *