Tangaza hali ya hatari – Gavana Sonko

By  |  0 Comments

Huku hali ya sintofahamu na shutuma chungu mzima zikindelewa kushuhudiwa kutokana na matayarisho ya marudio ya uchaguzi nchini kenya na tishio kutoka muungana wa upinzani The national super alliance kususia marudio ya uchaguzi haya , Gavana wa kaunti ya Nairobi mike mbuvi sonko amemurai Rais Uhuru Kenyatta kutangaza hali ya hatari( state of emergency ) endapo upinzani utatekeleza tishio yao ya kususia marudio ya uchaguzi wa urais ambayo Inatarajiwa kufanyika tarehe 26 oktoba .Akizungumza ikuluni Jana Gavana sonko alitaja kuitishwa kwa hali ya hatari kama mojawapo ya majukumu ya rais kwenye katiba , matamishi ya sonko yanaoana na baadhi ya viongozi kutokea mrengo wa jubilee ambao wameweka bayana kuwa ikiwa uchaguzi hautafanyika Rais Kenyatta ataendelea kuwa rais wazo ambalo upinzani umeupinga vikala na kuitaja kama ukiukaji wa katiba .” rais hawa watu wakileta nyokonyoko constitution inakupatia wewe nguvu ya kudeclare a state of emergency , jeshi ndio inaongoza na wewe bado ndio amiri mkuu ya wanajeshi wote.”

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *