Raila Odinga – Tudumishe Amani na Utulivu
Kinara wa muungano wa upinzani ambaye pia ni mwaniaji wa urais Raila odinga ametoa wito kwa wakenya kudumisha Amani na utulivu .Hii ni baada ya waungaji mkono wa chama cha jubilee kwenda maandamano wakitaka korti iwasimamishe jaji isaac lenaola na naibu jaji mkuu Philomena mwilu kwa madai ya kukutana na wanasheria wa muungano wa upinzani wakati kesi ya kuupinga Ushindi wa Rais Uhuru Kenyatta katika korti kuu ilikuwa ikiendelea.
kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Raila aliweka peupe tetesi ambayo muungano wake umekuwa nayo na waangaliaji wa uchaguzi Ila akasema japo walikuwa na ati ati na usimamizi wa waangaliaji hawa waliamua kuwaheshimu.Maongezi ya Raila inakujia siku moja kabla ya korti kutoa habari kamilifu kutokana na maamuzi yake iliyopelekea kutangazwa kwa uchaguzi mpya ambayo itakuwa na waniaji Uhuru Kenyatta na Raila odinga .” as NASA coalition we stand for the rule of law and respect the independence of the various arms of Government .in as much as we may have had reservations about the role of observers played in the August 8 th polls, we do take cognizance of the fact that they play a critical role in the electoral process .we as a coalition also hold judges and jurist in very high esteem .we urge Kenyans to remain calm as the nation awaits the full supreme court ruling on our petition tomorrow .”
Article by Erick Mutinda