Muigizaji aaga Dunia – East Africa Movie Stars

By  |  0 Comments

Mwigizaji shupavu Maureen wanza ameaga dunia. Maureen alimaarufu shasha aliwahi igiza katika michezo kadhaa za televisheni ikiwemo sumu , kashfa na almasi. Ripoti kuhusu kifo chake kiligubika wingu huku waigizaji wenzake wakielekea mtandaoni kuandika rambirambi zao “vidole vyangu navihisi vizito sana kutype R.I.P naona nikama utanisuta kuniambia bado hujakufa.
kweli nimesadiki kwamba dunia mapito na kila nafasi itaonja mauti.ulikuwa mjasiri na bidii kutimiza ndoto zako ukapanga uliyopanga kumbe amekupangia yake. Tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi.R.I.P Maureen wanza , ( stelah wa almasi, Sasha wa sumu , swabrina wa kashfa .) from him we came and to him we’ ll all be back.” aliandika mwigizaji Juma shibe .Maureen aliaga ajifungua..

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *