Baada ya siku 11 akiwa hospitali, Tundu Lissu anena yafuatayo
By 0 Comments
|
Tundu Lissu: “Pamoja na matatizo niliyoyapata, kamwe SITORUDI NYUMA. Nimeumizwa kwa ajili ya kupigania demokrasia na maslahi ya nchi yangu. Nimeumizwa kwa sababu ya kusema ukweli. Nimeumizwa kwa sababu, baadhi ya watu hawataki kusikia kile ninachokisema. Lakini pamoja na yote hayo”