Uchaguzi Kenya: Upinzani kuandaa maandamano

By  |  0 Comments

Muungano wa upinzani National super alliance umetangaza mpango wao wa kuandaa maandamano kushinikiza maafisa waliotuhumiwa kuhusika katika udanganyifu wa kura ambayo ilibatilishwa na mahakama kuu kuondoka ofisini. Akizungumza katika ziara ya kisiasa kinara wa NASA Raila odinga aliwarai wafwasi wao wajitokeze siku ya kesho kuelekea makao makuu ya tume ya uchaguzi Anniversary Tower kuwatoa maafisa walio chini ya afisa mkuu mtendaji Ezra chiloba ikiwa maafisa hawa hawata jiuzuli bila kushurutishwa japo muungana huu kwa muda sasa umekuwa ukiwanyoshea baadhi ya maafisa wa tume ya uchaguzi kidole cha lawama , mrengo wa jubilee umekuwa ukiitetea IEBC ikisisitiza kuwa kama IEBC itatimuliwa ofisini Majaji wa mahakama kuu pia watatimuliwa. ” our quest for justice continues with renewed vigour as time is of essence .since independence successive generation have yearned for true freedom ; the subjugation of their will by select few must come to an end .as NASA coalition we have today given fair notice to the Iebc that Kenyans have had enough and are coming for them this coming Tuesday 26th September .enough is enough and iebc as is currently constituted , simply must go to make way for meaningful reforms .our stand remains no reforms no election .” aliandika mgombeaji rais wa muungano wa NASA Raila odinga katika ukurasa wake .

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *