Bobi Wine awakwepa polisi

By  |  0 Comments

Huku mdahalo kuhusiana na ubatilishaji wa miaka ya kustaafu kwa rais kule uganda ukiiendelea Bungeni , Joto LA kisiasa na kushurutishwa kwa wabunge haswa wa upinzani umeendelea kushudhiwa huku aliyekuwa mgombeaji wa urais kizza Besigye akitiwa mbaroni na wenzake kuadamwa na mapolisi , mbunge wa kyadondo mashariki na mwanamziki tajika Bobi wine amepasua kimya chake na kusimulia jinsi alivyo wakwepa mapolisi hawa baada ya ripoti kuibuka kuwa walikuwa wananjama ya kumkamata ” so the police surrounded my home in order to prevent me from going to parliament today .I was too smart for them , instead spent the night somewhere in the ghetto.As I was heading to parliament they blocked my car from around kamwokya and tried to arrest me but i instead jumped onto s bodaboda.They tried to grab me off the boda but the riders fought them off.Then the police officers also jumped onto bodaboda to chase me but the boda guys refused to carry the police officers .”

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *