Sijamkosea heshima Rais Kenyatta, Asema babu
Huku shinikizo zikiendelea kutolewa kwa idara ya polisi, ile ya upelelezi na tume ya uwiano kumkamata mbunge wa embakasi mashariki Babu owino kwa madai ya kumkejeli rais Kenyatta kwa kumuita mtoto wa mbwa katika msafara wa upinzani katika kaunti ya Nairobi jana, mbunge huyu kupitia ukurasa wake wa kijamii amekana madai hayo , huku akisema nchini kuna marais chungu mzima akiwataja wale marais wa wanafunzi, rais wa korti kuu na rais wa seneti ya vijana wakiwa baadhi ya marais nchini, Babu aliongeza kuwa siasa anzozifanya kama kiongozi huwa ni ya Sera na huwa hailengi kudhalilisha viongozi wengine.” I will not apologize to anyone because I called nobody’s name during my yesterday’s address. We have so many president in kenya from the president of SONU to all President of the student union in kenya , president of the supreme court , President of the youth senate and many more .However I will stick to objective politics and will never abuse anybody .Let my brothers and sisters from the Kikuyu nation know that I did not abuse their president, one kenya one nation. Lastly in law calling someone mtoto wa ubwa( a puppy ) Is not an abuse. God bless kenya.”