Shetta ni Baba – Bongo Flavor Celebrities

By  |  0 Comments

Mwanamziki wa bongo flavor Nurdin Bilal Ali alimaarufu shetta ametangaza kubarikiwa na mwana .shetta ambaye alitamba kwa kibao kerewa hakuweza kuficha furaha yake pale alipo tangaza habari hii njema kwa wafwasi wake mtandOni ” welcome in the world my new born baby …/ karibu duniani mwanagu…Asante mungu kwa huyu mwingine sasa @ official qayllah uache kuringa .” inakisiwa mtoto huyu ni wa pili kwa familia ya mwanamziki shetta baada ya qayllah ambaye kwa wakati mwingi shetta anapend kujihusiha na jina lake , baba qahllAy.

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *