Naomba radhi – DJ Mo

By  |  0 Comments

MChezaji santuri Sammy Muraya alimaarufu dj Mo ametangaza kujutia maandishi yake mtandaoni iliyokuwa inamlenga mwandishi wa gazeti Njoki chege ambaye wikini kwenye kolamu yake alimtaka dj mo kuomba radhi baada ya kutaja baadhi ya majaribu aliyompa mke wake size 8 kwa minajili ya kujua bayana kama anampenda kwa dhati. Dj mo japo alikana kuomba radhi pale habari ya mwandishi huyu ilienda hewani , alimsuta kwa kutoweza kumchunga mume akitaja kuwa hii ndo sababu mwandishi Huyo alikuwa mzazi pweke ( single parent ) japo dj huyu alikuwa akimfokea Njoki wengi walichukulia uingiliaji wa swala LA wazazi pweke kama udhalilisho wa hadhi kwa wazazi wa aina hii na basi kumtaka dj mo kuomba radhi.” Vipi watu wangu so about the article , the bible warns us in psalms 37: 8 to refrain from anger as it leads to evil…while I know I know I have every right to stand for myself and the integrity of my family I erred and I made an unfortunate comment about Njoki being a single mum. I know while my fury was directed to her I ended up hurting a lot of single mums out there including my mother and it’s with deep humility that I take this opportunity to apologize to you all and more specifically to Njoki chege.” aliandika mtandaoni dj mo.

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *