Filamu mpya “MWISHO WANGU NI NINI” inaandaliwa na vijana kutoka Quebec, Canada akiwemo Star wa Burundi Johnson Mkubwa!

By  |  0 Comments

Karibu wiki tatu zimefika tukiwa tunaona maandalizi ya Filamu Mpya ambao inaenda kwa Jina “MWISHO WANGU NI NINI”, ikiwa inaandaliwa na vijana kutoka Quebec, Canada akiwemo Nyota ya Burundi Johson Mkubwa alie wahi kucheza katika Filamu ya “21Days” ilio toka mwaka wa 2011.

movie-mwisho-wangu-ni-nini

Tulifanikiwa kuongea na Nyota ya Burundi Johnson Mkubwa akitweleza habari kuhusu filamu hiyo. J. Mkumba anasema kua filamu inatengenezwa na Group ya Vijana wanako ishi Quebec ambapo mda si mlefu wataweka wazi Jina la kundi hilo. J. Mkubwa aliendelea kusema kua vyombo vinavyo tumiwa kuchukua sanamu za filamu hiyo vinatoka kwenye JB Productions.

jb-production

Kwa maelezo ya J. Mkubwa anasema kua vijana wa kundi hilo walichukua mda kama mwezi mzima wakiwa wanajiandaa kucheza filamu hiyo. Kwa maandalizi walio wafanya nyota ya Burundu J. Mkubwa anasema kua filamu itakua nzuri tena ya kuvutia ingawa ni mala yao ya kwanza kucheza filamu.

Baada ya hii filamu kundi hilo linapana kuendelea na kutengeneza ma filamu mengi tena ya mwendo kasi kwa kuleta maendeleo ya vijana wa East Afrika kutoka Quebec, Canada.

filamu-mwisho-wangu-ni-nini

J. Mkubwa anasema kua Filamu itasambazwa rasmi mwezi wa Februari mwaka wa 2017. Tena Kundi hilo lina panga kufanya uzinduzi wa filamu hiyo ndo maana itatoka mwezi wa Februari mwakani!
Neno la Mwisho J. Mkubwa kasema :”Kwakweli wa shabiki woote . najua mda mlefu. Hamuoni kazi tunafanya. Kitu naweza kuwaomba. Jinsi mnatufuatilia kwenye facebook msisimamishe. Muendelee kutupa nguvu.na comenti nzuli.ili tu pâte nguvu za kuendelea na maombi mbele.kwa uwingi .tusaidiane ki mawazo.movie inakuja tutafulahi. Tukichangia kuiona asanteni”

Mengi zaidi tutaendelea kuwapa habari, muwe karibu nasi! Ebu shiriki na wengine habari hii!

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *