Tamasha la Kumuchangia Luwi kuandaliwa

By  |  0 Comments

Wanasaana tokea ukanda wa pwani ya kenya wametangaza mpango wa kuandaa tamasha LA kumchangia mwigizaji luwi capello ambaye alihusika kwa ajali ya barabarani. Luwi amekuwa akiigiza mchezo wa runninga ya Maza na Nairobi diaries. Mwigizaji huyu amekuwa hospitalini kwa wiki tatu hivi baada ya ajali na basi fedha ya matumizi ya kulazwa imekuwa mno huku repoti kutokea wandani wa luwi ikidokeza kuwa luwi alipata majiraha kichwani ambayo ilihitilafiana na ubongo wake. Kupitia ujumbe wake Ibrahim Chitayi mwandishi wa maza wasaani Nyota ndogo, Qritical , amoury- beyby na susumila wamejitolea kutumbuiza watu katika tamasha yake luwi ambayo inajulikana kama “we stand with luwi.”

“Dear friends and family , we thank your continued support to our brother Luwi @Luwi capello who has been hospitalized for 3 weeks now after a fatal accident along the kilifi- Mombasa road leaving him with a very bad head injury that affected his brain .The coast artist have united and come together to support one of our own during this difficult time and decided to host one of the biggest performance show ever which include musician , models , spoken word , actors , acrobats and various deejays .” aliandika chitayi.

Share Button

Share Button

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *